KARIBU JOINTPESA MIS

Mfumo rahisi wa kufanya miamala ya Kikundi chako cha Akiba na Mikopo.

JOINTPESA HUDUMA

Hakika Kufanya Miamala na kutunza Fedha hakujawahi kuwa Rahisi namna hii


Hesabu zote zimefanywa

JointPesa imerahisiha Mahesabu

Rahisi kutunza Kumbukumbu

Madaftari yamepitwa na wakati
Kumbukumbu zote kidijitali

Salama wakati wote

Hakuna kupoteza kumbukumbu tena
Taarifa zote ni Siri kwa kila KikundiLugha uliyoizoea

Kiswahili ndio Lugha yetu
Fanya Miamala kwa Lugha Mama

Tumia kwenye Kifaa Chochote

Tumia Simu yako ya Tochi bila Intaneti
Smati-foni, Kompyuta yako au Tablet

Tuma Matangazo wakati wowote

Wafikie wanachama wakati wote
Furahia kupata taarifa zote za miamala ya Kikundi

FUNGUA AKAUNTI YA KIKUNDI LEO

Ni Rahisi, Salama na Haraka


Taarifa za Kikundi

Taarifa za Kiongozi

TOA MAONI YAKO

Muda wote tupo kwa ajili yako


Tuma maoni yako na tutakujibu ndani ya saa 24.

COSTECH, 1st Floor, Kijitonyama, Dar es Salaam

+255 653 478 869 | +255 762 807 848

hello@jointpesa.com